A] Kulipa shairi kichwa/anwani
v Zingatia neno au maneno yaliyorudiwarudiwa
v Zingatia kibwagizo
v Zingatia ujumbe kwa ujumla
B] Kuandika kwa lugha ya na nathari
v Zingatia kuwa kaida za kishairi huondolewa
v Andika hicho kipande ulichopewa kwa kukielewa na bila kukipotosha maana yake
C] kueleza:-
I] ujumbe wa shairi/mashairi
II] ubeti wa shairi
III] beti kadhaa za shairi
D] umbo/muundo wa shairi/mtindo wa shairi
Fomula ya ushari ni M V B
v Zingatia idadi ya mishororo
v Migawanyiko ya mishororo
v Mpangilio wa vina na vipande
v Mpangilio na matumizi ya maneno k.v uradidi wa maneno
v Zingatia mizani ya shairi
v Kibwagizo cha shairi kama kimefupishwa[msuko,mstari mshata] je, kimerudiwarudiwa ,kinabadilika badilika,je, ndicho kichwa chashairi n.k
E] UHURU WA MSHAIRI
v Zingatia inkisari [kufupisha neno]
v Zingatia mazida[kizidisha au kurefusha neno]
v Tabdila [kulipa neno sura mpya kwa kigezo cha kutaka urari wakina mf. Pia-piya]
v Kufinyanga sarufi/kubanaga/kuboronga-ni kubadili mpangilio wa sarufi katika neno mf.katika mshororo kama vile[kumi miaka imepita badala ya miaka kumi imepita]
v Kikale [ni kutumia maneno ya kale kama vile samai ,buruji,rabuka]
v Kilahaja[ni kutumia lahaja za kiswahilii kama vile kiammu, kimtng’ata, kimvita, kizwani]
v Kutumia mbinu za sanaa[taswira,jazanda,methali,chuku,tanakuzi,istiara,tashibiha]
F]Mtahini lazima afahamu kuwa sababu ya mshairi kutumia uhuru kama vile mazida,inkisari,tabdila ni:-
v Kutaka kutimiza/kusawazisha mizani
v Kutaka kutimiza/kusawazisha vina
G jinsi ya kueleza bahari ya ushairi
A] kwa kutumia kigezo cha idadi ya mshororo bahari zifuatazo hubainika
v Umoja
v Upili/tathnia
v Utatu/tathlitha
v Unne/tarbia
v Utanotakhmisa
v Usita/siataia/tasdisa
v Usaba/tasbia
v Unane/tathmina
v Utisa
v Ukumi/taashuri
v Gungu-ni shairi lenye mishororo mirefu kwa ajili ya mizani zilizomo kwenye shairi huwa na mizani zaidi ya 12 na huwa na kina kimoja
…………………………………………..twa [12]
…………………………………………..twa [12]
……………………………………………twa [12]
……………………………………………twa [12]
v Utenzi– ni shairi ambalo huwa na mizani chini ya kumi na mbili na aghalabu huwa na kina kimoja
1…………………………………………..a
……………………………………………..a
………………………………………………a
2…………………………………………….a
……………………………………………….a
……………………………………………….a
3……………………………………………..a
……………………………………………….a
………………………………………………..a
v Mapingiti/masivina– nishairi huru/ ni mashairi ya kileo.
v Kisarambe/guni –ni shairi ambalo halikutimiza sheria za kishairi yaani linadosari na mshari kaziweka bila ya kukusudia au kutojua
B]kwa kutumia kigezo cha idadi ya vipande katika mishororo bahari zifuatazo hubainika
v Mathnawi – ni shairi lenye vipande viwili
…………………a……………………..b
…………………a………………………b
…………………a…………………….b
[Aukwapi], [B utao]
v Ukawafi –ni shairi lenye vipande vitatu
…………………a……………………..b…………………………………………c
…………………a………………………b…………………………………………c
…………………a……………………….b………………………………………….c
[A ukwapi], [B utao] , [C mwandamizi]
Ingawa katika vipande vya mashari huwa kama ifuatavyo
1 ukwapi 2 utao 3 mwandami 4 ukigo
v kikai– ni shairi ambalo vipande vyake haviingiliani kimizani yaani huwa mizani 4,9 [ukwapi na utao]
……………………4……………………………9
…………………….4…………………………..9
…………………….4……………………………9
v tumbuizo-nishairi kama ukawafi yaani lina vipande vitatu katika kila mshororo lakini kila kipande huwa na mizani 8
……………………………….8………………………………8……………………………………8
……………………………….8……………………………….8……………………………………8
………………………………..8………………………………8…………………………………….8
v dura[mandhuma] ni shairiambalo kipande cha kwanza hutoa wazo au swali na kipande cha pili hutoa suluhisho au jawabu.
v Sakarani ni shairi lenye bahari kuu/shairi lenye muundo wa maishiri mengi kwenye shairi moja
……………………………………na [UTENZI]
…………………………………….na
……………………………………na
……………………..ki…………………………………..ti TATHLITHA
……………………..ki………………………………….ti
…………………….ki……………………………………ti
………………….A…………………………………..sa…………………………..da TARBIA UKAWAFI
……………………a………………………………….sa………………………….da
……………………..a………………………………..sa………………………….da
……………………..a………………………………….sa………………………..da
c]Kwakutumia cha matumizi ya maneno utapata
v kikwamba – ni shairi mabalo neno ambalo hunza kwenye mshororo ndilo huutanguliza kila mshroro
1 .nasema……………..,…………………….,
nasema……………..,…………………….,
nasema……………..,…………………….,
2. nasema……………..,…………………….,
nasema……………..,…………………….,
nasema……………..,…………………….,
v takriri awali– ni shairi ambalo silabi au mizani ya mwanzo ya kila mstari hufanana.
Ka……………………….,………………………..,
Ka……………………….,………………………..,
Ka……………………….,………………………..,
Ka……………………….,………………………..,
Ka……………………….,………………………..,
Aina ya mishororo
A] 1 mwanzo,2 mloto,3 mleo 4 kibwagizo,kipokeo
B]mstatri shata ni mishororo ambao haujitoshelezi kimizani na kimaana
C] mstari toshelezi ni mshororo unaojitosheleza kimizani na kimaana
v pindu – ni shairi ambalo maneno vile yanavavyoishia ndivyo huutanguliza mstari unaofuata
…………………..maisha.maisha…………………………kazi
Kazi……………bidii,bidii…………………………..dunia
Dunia…………jalia,jalia………………………maisha
D]Kwa kigezo cha vina
v ukara –ni shairi ambalo vina vya mwisho vimefanana vyo au vina vya ndani viki fanana katika shairi lote na vile vya nje vkiitofautiana pia huitwa ukara
- …………………………….ki………………………ma
…………………………………..ki……………………………ma
…………………………………..ki……………………………..ma
2……………………………….pi………………………………ma
…………………………………pi……………………………….ma
…………………………………pi……………………………….ma
3……………………………….kwa……………………………..ma
…………………………………kwa……………………………….ma
…………………………………..kwa……………………………….ma
v Ukaraguni ni shairi ambalo kila ubeti huwa na vina vilivyo fanana kwenye huo ubeti lakini kwenye beti zingine havilingani.
1……………………………………………a……………………………ni
…………………………………………….a……………………………ni
…………………………………………….a……………………………..ni
2…………………………………………….si…………………………………po
……………………………………………..si…………………………………po
……………………………………………..si………………………………….po
v Mtiririko ni shairi ambalo vina vyake vyo hufanana vya ndani na nje
1
……………………………….a…………………………………….a
……………………………….a……………………………………..a
……………………………….a……………………………………….a
2
………………………………a………………………………………..a
………………………………a…………………………………………a
……………………………….a…………………………………………a
E] katika kibwagizo
v Msuko– ni shairi ambalo kibwagizo huwa kimefupishwa kimizani
……………………………………..8……………………………….8
………………………………………8……………………………….8
……………………………………..8………………………………8
…………………………………8
BAHARI ZINGINE NI KAMA
A]ngonjera ni shairi la majibizano kati ya wahusika wawili au zaidi katika shairi moja
B]malumbano ni shairi amabalo huwa na mashairi mawili ya kujibizana na huzua ubishi
C] kifungu nyama ni shairi ambalo ni la kimafumbo au kitendawili ambalo huitaji washairi wengine wa fumbue au wategue
D]msemele ni shairi ambalo hutmia tamathali nyingi za usemi au mtunzi utumia lugha iliyojaa ufundi mwingi
KATIKA MASWALI YA MSAMIATI TEGEMEA
A]kuona msamiati wa kwaida
B] msamiati wa kilahaja
C] maneno yaliyo toholewa
WAKATI UNAPO ULIZWA ULINGANISHE MASHAIRI MAWILI
A] Kuzingatia maudhui ya shairi
B]muundo washairi
Ni matumaini yangu kwamba badaa ya kusoma uchambuzi huu utawafaa wengi wenye shida za ushairi
SHUKRANI KWA WATAHINI WOTE
MIYE WENU MTAYARISHI :ABDULRAHIM ALI
MKUU WA IDARA YA LUGHA
SHULE YA UPILI YA MLIMA SINAI
KUSINI MWA MOMBASA
0729445291 S.L.P 96212,96375 MOMBASA

SHULE YA AL-AMIN INTERGRTED TECHNICAL HIGH SCHOOL
KUSINI MWA MOMBASA
0729445291